Posts
Ajira za Tanzania na Asilimia Tano ya Vijana
- Get link
- X
- Other Apps
![Image](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjORACfMpqRiuOoRuYbxMTULlwZpHLHBxE7SlEQaM4fyUuqNicAFJygpHV5mmkiFqxY47R5NJJkRax2yASbynHf6FDYxuSrTddWich0wGN0lawWa2DEXM2boelc423dXf86AvLybcXiaX4/s640/1-10.jpg)
Binafsi waga nachukia sana kwa kauli za mawaziri wetu wa Tanzania kipindi wako bungeni nakusema wizara imehamua mwaka huu wa fedha itawaajiri wataalamu either wa afya au wa fedha mfano watasema 2200 had 3000 lakin mpaka mwaka hunaisha posts za ajira kwa watanzania za kazi hata mia hazifiki sasa unaweza kukuta bajeti ilipita na ela ya kuwaajiri hao watu ilitolewa wewe kama mwananchi utajiuliza hiyo ela hinaenda wapi lakini viongozi wajuu hata wasioji hilo unasikia tu bajeti ya tanzania ni tilioni kazaaa ucjue hata inatumikaje au ili swala la asilimia 5 za vijana cjawahi hatakuonaga hata wanatoa elimu ya ukimwi tu huku kwetu namimi nipo mjini sasa na hao wavijijini je inakuwaje kila siku tunaitwa kwenye vikao vya vyama tu sio vya maendeleo hii ni stupidit kazi hakuna, any support from our government hakuna waga najiuliza hivi Mr President wanakurudishiaga ripoti gani huko kwako hao wanao zichukua hizo ela za bajeti naje? Kwanini siku usichague njia za mitaani hupite ukaacha ku...
Sekretarieti ya Ajira
- Get link
- X
- Other Apps
![Image](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhrk06Y9g1Jm7PDD0lnrOtTCii6ugAE1cYBIFBkewF6E7VX9szh9bKNVPjYHRnbM88HFOxFCW8EWAn2-4mlxGpcAkFJiRVkWKgq_XvWvshIJg_r58z0vNLnRalKQytapMfhp2jA9cGlVQ0/s640/IMG_20171204_074237_652.jpg)
Kati ya taasisi ambayo inaongoza kwa kuwa na viewerz wengi ni ya ajira na muhimu kwa watanzania wengi kwasababu janga kubwa lakila mtanzania ni ajira lakini hii taasisi waga kuna wakati hadi inawakera watanzania je.. unataka kujua kwanini kuna kauli wanasema ukiwa kwenye ajira mtu ambaye ajapata ajira unamtesa sana ndio hawa jamaa bhana kuna kitu hiii taasisi inakosea sana kila ukibahatika kuitwa kwenye interview ukae ukijua kama huko mbali na dar es salaam lazima utumie gharama ya usafir kuja hadi dar haijalishi utapata kazi au upati wakati wangeweka branch ingalikuwa easy sana kwa watanzania sasa piga hesab mfano mmeitwa 700 kwenye interview mia 500 kati yao wanatoka nje ya dar na kaz nafas ni 10 au 100 tu nazeni unarudi nyumban unasikia umeitwa tena kwenye interview je ww kwa hali yasasa unaweza kutoka kagera hadi da twice in one month jaman watanzania mnawachosha ongezen branch zenu katika kila mikoa mkishindwa muwaajili wakitoka vyuoni moja kwa moja kwani tcu na nacte wanakazi gan...