Posts

Showing posts from November, 2017

Barabara ya Vingunguti kwa Mnyaman

Image
Barabara ya vingunguti kwa mnyamani ni barabara inayo pitisha magari zaidi ya 5000 kwa siku moja lakini nimoja kati ya barabara ambayo serikali imeifumbia macho kama hawaoni jinsi gani watanzania wanavyo pata shida hii barabara wanazidi kuiongezea idadi ya magari yanayo tokea tabata kimanga nayo yaweze kupita kwenye barabara hiyo pasipo kuiongezea ubora barabara hiyo halafu eti wanasema mkuu wa mkoa alitembelea vijiji vyote katika wilaya ya ilala sasa alitembea ili afanye nini hikiwa tatizo aliliona na hakulifanyia kazi naweza kusema barabara hii ina kl 2 au 3 lakin ukipanda gar unaweza kutumia masaa manne kutoka vingunguti hadi bugurun je daradara wakisema hawataki kupita hiyo njia wanataka main road mtawakataza mkuu wa mkoa Mh.P.Makonda embu angalia tatizo ili kwasababu wabunge na madiwan wako atuoni wanacho fanya kwenye njia hiii sitachoka kukukumbushia swala hili mpaka ulifanyie kazi tunajua always kuwa uongozi ni hutumwa na ni wito pia basi tumikia wananchi wako juu ya swala hili ...

Barabara ya kwa mnyamani

Image

Barabara ya Kwa Mnyamani

Image

Harmonize ft Sam waukweli

https://youtu.be/vw28evNEcS0

Rayvan_kwetu official video

Image

Queen doreen_kijuso official video ft rayvan

Image

Rayvan _Mbeleko official video

Image

Alikiba_Lupela official video

Image

Patoranking_Love die official video ft Diamond platnumz

Image

Kicimple Jr

Image
Maisha bhana nimagumu but usije ukafanya vitu vibaya ili ufanikiwe kwasababu baadae ndio yatakuwa mabaya zaid ya sasa

Rich mavoko_Imebaki story official video

Image

Justin B

Image

Queen doreen Kijuso ft Rayvann official video

Image

Weusi Nicome official video

Image

Barabara za Vingunguti

Barabara ya kutoka buguruni kupitia kwa mnyaman kuja vingunguti kizota yazidi kualibika kila siku bila serikali kuchukua hatua yeyote wananchi wamezidi kulalamika juuu ya barabara hiyo ipatayo kama kilometa mbili na inavyo semekana chanzo cha hiyo barabara kuaribika ni mabomba ya maji yaliyopo chini ya barabara hiyo