Barabara ya Vingunguti kwa Mnyaman

Barabara ya vingunguti kwa mnyamani ni barabara inayo pitisha magari zaidi ya 5000 kwa siku moja lakini nimoja kati ya barabara ambayo serikali imeifumbia macho kama hawaoni jinsi gani watanzania wanavyo pata shida hii barabara wanazidi kuiongezea idadi ya magari yanayo tokea tabata kimanga nayo yaweze kupita kwenye barabara hiyo pasipo kuiongezea ubora barabara hiyo halafu eti wanasema mkuu wa mkoa alitembelea vijiji vyote katika wilaya ya ilala sasa alitembea ili afanye nini hikiwa tatizo aliliona na hakulifanyia kazi naweza kusema barabara hii ina kl 2 au 3 lakin ukipanda gar unaweza kutumia masaa manne kutoka vingunguti hadi bugurun je daradara wakisema hawataki kupita hiyo njia wanataka main road mtawakataza mkuu wa mkoa Mh.P.Makonda embu angalia tatizo ili kwasababu wabunge na madiwan wako atuoni wanacho fanya kwenye njia hiii sitachoka kukukumbushia swala hili mpaka ulifanyie kazi tunajua always kuwa uongozi ni hutumwa na ni wito pia basi tumikia wananchi wako juu ya swala hili asante nakutakia kazi njema ya kutumikia taifa. Sijakufundisha nimekukumbusha tu.

Comments