Barabara za Vingunguti
Barabara ya kutoka buguruni kupitia kwa mnyaman kuja vingunguti kizota yazidi kualibika kila siku bila serikali kuchukua hatua yeyote wananchi wamezidi kulalamika juuu ya barabara hiyo ipatayo kama kilometa mbili na inavyo semekana chanzo cha hiyo barabara kuaribika ni mabomba ya maji yaliyopo chini ya barabara hiyo
Comments
Post a Comment