Ajira za Tanzania na Asilimia Tano ya Vijana
Binafsi waga nachukia sana kwa kauli za mawaziri wetu wa Tanzania kipindi wako bungeni nakusema wizara imehamua mwaka huu wa fedha itawaajiri wataalamu either wa afya au wa fedha mfano watasema 2200 had 3000 lakin mpaka mwaka hunaisha posts za ajira kwa watanzania za kazi hata mia hazifiki sasa unaweza kukuta bajeti ilipita na ela ya kuwaajiri hao watu ilitolewa wewe kama mwananchi utajiuliza hiyo ela hinaenda wapi lakini viongozi wajuu hata wasioji hilo unasikia tu bajeti ya tanzania ni tilioni kazaaa ucjue hata inatumikaje au ili swala la asilimia 5 za vijana cjawahi hatakuonaga hata wanatoa elimu ya ukimwi tu huku kwetu namimi nipo mjini sasa na hao wavijijini je inakuwaje kila siku tunaitwa kwenye vikao vya vyama tu sio vya maendeleo hii ni stupidit kazi hakuna, any support from our government hakuna waga najiuliza hivi Mr President wanakurudishiaga ripoti gani huko kwako hao wanao zichukua hizo ela za bajeti naje? Kwanini siku usichague njia za mitaani hupite ukaacha ku...